DELE ALLI
Chelsea, Liverpool na Arsenal wanamnyatia kiungo kinda miaka 18 wa MK Dons anayelinganishwa na Steven Gerald kwa namna ya uchezaji wake (Daily express)
WILFRED BONNY
Timu ya Everton wanataka kutoa kitita cha paundi milion 12 kumnasa kiungo wa Swansea Wilfred Bonny ili kuhimarisha safu yao ya ushambuliaji kwa msimu ujao.(South Wales Evening Post)
MARIO MANDZUKIC
Timu ya Chelsea wako tayari kumtoa kiungo wao Mbrazili David Luiz pamoja na kitita cha paundi milioni 15 ili kumnasa mshambuliaji Mkoresia Mario Mandzukic anayekipiga kunako timu ya Buyern (Daily Mirror)
LOUIS VAN GAAL
Kocha tarajali wa Man United mzee Louis Van Gaal amempa mwenyekiti msaidizi wa Man United Ed Woodward horodha ya vijana anaowataka kwa msimu ujao...habari za kidaku zinasema kwenye horodha hiyo yupo Arjen Roben wa Buyern (The Gurdian)
THORGAN HAZARD
Imesemekana kuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho yupo nchini Ubeljiji kuangalia maendeleo ya ndugu yake Eden Hazard anayekipiga kunako timu ya Zulte Waregem ya Ubeljiji kwa mkopo kutokea Chelsea.(Daily Mail)
Chelsea, Liverpool na Arsenal wanamnyatia kiungo kinda miaka 18 wa MK Dons anayelinganishwa na Steven Gerald kwa namna ya uchezaji wake (Daily express)WILFRED BONNY
Timu ya Everton wanataka kutoa kitita cha paundi milion 12 kumnasa kiungo wa Swansea Wilfred Bonny ili kuhimarisha safu yao ya ushambuliaji kwa msimu ujao.(South Wales Evening Post)MARIO MANDZUKIC
Timu ya Chelsea wako tayari kumtoa kiungo wao Mbrazili David Luiz pamoja na kitita cha paundi milioni 15 ili kumnasa mshambuliaji Mkoresia Mario Mandzukic anayekipiga kunako timu ya Buyern (Daily Mirror)
LOUIS VAN GAAL
Kocha tarajali wa Man United mzee Louis Van Gaal amempa mwenyekiti msaidizi wa Man United Ed Woodward horodha ya vijana anaowataka kwa msimu ujao...habari za kidaku zinasema kwenye horodha hiyo yupo Arjen Roben wa Buyern (The Gurdian)
THORGAN HAZARD
Imesemekana kuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho yupo nchini Ubeljiji kuangalia maendeleo ya ndugu yake Eden Hazard anayekipiga kunako timu ya Zulte Waregem ya Ubeljiji kwa mkopo kutokea Chelsea.(Daily Mail)

No comments:
Post a Comment