Mwanzoni mwa mwezi huu wa tano, kocha mkuu wa timu ya Brazili mtaalamu Luiz Felipe Scolari ametangaza vijana wake watakao iwakilisha nchi hiyo kwenye michuano ya kombe la dunia itakayoanza kusakatwa kwenye miji kazaa nchini humo.
vijana hao ni kama ifuatavyo.
Magolikipa:
Julio Cesar (Toronto FC)
Jefferson (Botafogo)
Victor (Atletico Mineiro)
Walinzi:
David Luiz (Chelsea),
Dante (Bayern Munich),
Thiago Silva (Paris Saint-Germain),
Henrique (Napoli),
Maicon (Roma),
Dani Alves (Barcelona),
Marcelo (Real Madrid),
Maxwell (Paris Saint-Germain)
Washambuliaji:
Hulk (Zenit St. Petersburg),
Bernard (Shakhtar Donetsk),
Neymar (Barcelona),
Jo (Atletico Mineiro),
Fred (Fluminense)
vijana hao ni kama ifuatavyo.
Julio Cesar (Toronto FC)
Jefferson (Botafogo)
Victor (Atletico Mineiro)
Walinzi:
David Luiz (Chelsea),
Dante (Bayern Munich),
Thiago Silva (Paris Saint-Germain),
Henrique (Napoli),
Maicon (Roma),
Dani Alves (Barcelona),
Marcelo (Real Madrid),
Maxwell (Paris Saint-Germain)
Washambuliaji:
Hulk (Zenit St. Petersburg),
Bernard (Shakhtar Donetsk),
Neymar (Barcelona),
Jo (Atletico Mineiro),
Fred (Fluminense)
Hata hivyo wataalamu wa soka wamemkosoa kocha huyo kwa kutowajumuhisha wazoefu kama, Kaka, Rhobinho, Ronaldinho.Wengine wanaona ingekuwa vema zaidi kama Miranda wa Atletico Madrid angepewa nafasi ya Henrique wa Napoli, pia Philippe Coutinho angepewa nafasi kwenye sehemu ya viungo

No comments:
Post a Comment