Habari kutoka mtandao wa Chelsea unasema kuwa umekubaliana na timu ya Paris Saint-Germain kumuuza mchezaji wao wa nafasi ya ulinzi, machachari David Luiz kwa dau kubwa kuwahi kutokea kwa mlinzi.
David Luiz mwenye miaka 27 alihamia Chelsea kutoka Benefica mwezi January 2011 kwa dau la uhamisho la paundi milioni 23.5, atahamia Ufaransa kwa dau la paundi milioni 50.
Mbrazili huyo atakamilisha mazungumzo na club hiyo kabla ya kuanza michuano ya kombe la Dunia mwezi ujao nchini Brazili

No comments:
Post a Comment