Tuesday, 20 May 2014

LOUIS VAN GAAL KOCHA MPYA MAN UNITED

Manchester United wamempa shavu Mholanzi Louis Van Gaal kuwa mwalimu wa kikosi hicho mara baada ya kumali zika kwa fainali za kombe la dunia mwaka huu.

      Mzee huyo mwenye umri wa miaka 61 ameweka wino mkataba wa miaka mitatu wa kukifunza kikosi hicho hali akisaidiwa na Kocha wa muda RYAN GIGGS, Ambaye amestaafu rasmi na kuanza kazi ya ukufunzi rasmi. Aidha Frans Hoek na Marcel Bout wakitaja kuwa wasaidizi wengine wa kocha huyo mkali. 
    "nilikuwa natamani sana kufanya kazi kwenye ligi ya premia, na kuwa kwangu Man united kunanifanya nijisikie vizuri" alisema mzee huyo 
Swali langu ni je mzee  Van Gaal atamudu homa za ligi hii yenye ushindani?

No comments: