Tuesday, 20 May 2014

HACHIM MASTOUR NI NOMAAAAA

Timu ya AC Millan imeamua kumpandisha kinda wao Hachim Mastour kwenye kikosi chao cha kwanza. Mtoto huyo mwenye asili ya Moroko aliamia Ac Millan akitokea Reggiana kwa uamisho wa Euro laki tano mwaka 2012 na amekuwa akijumuishwa kwenye kikosi cha vijana cha Italy

   Hachim alicheza kwenye kikosi cha Seedorf na kuweka historia ya kuwa kinda mdogo zaidi kucheza kwenye kikosi hicho tangu kuanzishwa kwa timu hiyo miaka 115 iliyopita.
Mastour anaefananishwa na Zidane na Ronaldihno atafikisha miaka kumi na sita tarehe15 mwezi ujao.

No comments: