Baada ya kumaliza msimu wa 2013-14 bila taji lolote, kocha Martino aliamua kumwaga manyanga, na kutoa fursa kwa Barcelona kumtangaza kiungo wake wa zamani Luis Enrique kuchukua mikoba hiyo.
Luis (44) ambaye alicheza Nou Camp na kuchukua vikombe viwili vya La Liga na ndoo mbili za Copa del Rey ataanguka sahihi ya mkataba wa miaka miwili kukifunza kikosi hicho cha Catalan
Taarifa hizi ni njema haswa baada ya kiungo hatari Lionel Messi kusaini mkataba wa miaka miwili na kutoa matumaini ya kuendelea kubaki Nou Camp.

No comments:
Post a Comment