Monday, 19 May 2014

JUVENTUS BINGWA MPYA SERIE A 2013-14

Timu ya Bibi kizee cha Turin, Juventus wameibuka mabingwa wapya wa Serie A kwa kuichapa Cagliari kwa magoli matatu bila majibu na kufikisha pointi 102 ikiwa na ubigwa wao wa mara ya tatu mfulululizo na kuweka rekodi ya kumaliza michezo 38 ikiwa na magoli 101. 

   Kwa ushindi huo Juve wameweka taji hilo kabatini kwa mara ya 30 tangu kuanzishwa kwa club hiyo. 
Juve wataanza msimu ujao wakiwa na hamu ya kutoa upinzani wa kutosha kwenye mashindano ya UEFA 2014-15 hali wakijua upinzani mkubwa kutoka kwa timu shiriki zenye mshawasha mkubwa wa kutwaa ndoo hiyo ya Ulaya.
HONGERENI JUVENTUS. 

No comments: