WAHISPANIA wamekuwa wazuri kwa miaka ya hivi karibuni kwenye soka la kitaifa na kimataifa.Walishinda kombe la dunia kwa mara ya kwanza miaka minne iliyopita, kama hiyo haitoshi waka twaa ndoo ya Ulaya mwaka 2008 na mwaka 2012.
Watapenda kuendelea na mdundo huo, ama kuuongezea kasi kidogo mwezi ujao nchini Brazili.
Jumanne hii kikosi cha wababe hao kilitangazwa hali akiitwa kijana butu wa Chelsea Fernando Torres na mshirika wake wa zamani wa kikosi cha Chelsea Juan Mata.
Kikosi hicho ni kama ifuatavyo:-
Magolikipa
Iker Casillas (Real Madrid),
Pepe Reina (Napoli),
David De Gea (Manchester United).
Walinzi:
Dani Carvajal, Sergio Ramos (both Real Madrid),
Gerard Pique, Jordi
Alba (both Barcelona),
Cesar Azplicueta (Chelsea),
Juanfran (Atletico
Madrid),
Javi Martinez (Bayern Munich),
Raul Albiol (Napoli),
Alberto
Moreno (Sevilla).
Viungo:
Sergio Busquets, Xavi Hernandez, Andres Iniesta, Cesc Fabregas (all
Barcelona),
Xabi Alonso (Real Madrid),
Ander Iturraspe (Athletic
Bilbao),
David Silva, Jesus Navas (Manchester City)
Santi Cazorla (Arsenal),
Koke
(Atletico Madrid),
Tiago Alcantara (Bayern Munich),
Juan Mata
(Manchester United),
washambuliaji :
Diego Costa, David Villa (wote kutoka Atletico Madrid),
Alvaro Negredo
(Manchester City),
Pedro Rodriguez (Barcelona),
Fernando Llorente
(Juventus),
Fernando Torres (Chelsea).
Ni wazi kuwa Uhispania ina kikosi kilichosheheni wasakata kabumbu walioiva na hivo kukifanya kikosi hicho kutajwa na wengi kuwa kikosi imara kwa michuano ya kombe la dunia Mwezi wa sita kule kunako chapwa kabumbu haswaaaaaa.....
Je wewe unawapa nafasi gani wahispaniola?
Wachambuzi wa soka wanaona ingekuwa vema kama,

No comments:
Post a Comment