Umbea toka kwenye magazeti ya udaku nchini Uingereza yanamhusisha Solomon Kalou anayekipiga kwenye ligi ya Ufaransa na Arsenal
Kalou ambaye amekuwa kwenye form kwa msimu huu na kufanya kikosi cha Lille kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuweza kushiriki kombe la Euefa msimu ujao.
Kijana huyo wa kiIvorycoast amepiga magoli 14 na kutoa ushirikiano wa magoli matano na hivyo kumfanya mzee mbahili wa Arsenal kumwangalia kwa jicho la tamaa...
Wakati huo huo Liverpool wameona kuna sababu ya chalii huyo kutua Anfield hivyo nao wameanza mbio za kutaka kumwahi mzee WENGER
Sio hao tu, bali Kalou amewavutia pia Ac Roma, Galatasaray, Monaco na Atletico Madrid
Kalou ambae bado ana miaka miwili kwenye mkataba wake anategemewa kufanya maamuzi baada ya michuano ya kombe la dunia nchini Brazili yatakayo timua vumbi mwezi wa sita mwaka huu...

No comments:
Post a Comment