Kutokana na kashfa inayokabili mchakato mzima wa kuiteua Qatar kuwa mwandaaji wa kombe la dunia 2022, huenda haki hiyo ikaondolewa endapo itathibitika kuwa maofisa wa ngazi za juu za vyama mbalimbali vya soka walipewa mlungula kupitisha nchi hiyo.
Taarifa toka mitandao mbalimbali na vyombo vya habari tofauti, vinaripoti kuwa viongozi wengi wa soka haswa bara la Afrika walipewa mlungula kupigia kura Qatar.
Taarifa toka mitandao mbalimbali na vyombo vya habari tofauti, vinaripoti kuwa viongozi wengi wa soka haswa bara la Afrika walipewa mlungula kupigia kura Qatar.

No comments:
Post a Comment